RAIS DKT. MAGUFULI AWASHUKURU WENYEVITI, MAKATIBU WA CHAMA CHA MAPINDUZI WA MIKOA NA WILAYA ZA TANZANIA
Dkt. John Pombe Magufuli akiwahutubia Wenyeviti, Makatibu wa Chama cha Mapinduzi wa mikoa na Wilaya za Tanzania bara na Visiwani Ikulu jijini Dar es Salaam.