kundi la vijana wa Syria limeamua kupinga vikali kundi linalojulikana kama Islamic State waliochukua udhibiti wa mji wao.
raia hao wamegeuka waandishi wa habari na wanaandika habari katika mitandao ya kijamii wakionesha maisha halisi katika mji wa Raqqa.